Sidebar with Floating Button
AckySHINE 🔁
AckyShine

Tofauti Wakati Wa Kukomunika Wakati Wa Kupokea Mwili Na Damu ya Yesu Kristo

Featured Image
Wakati wa Kukomunika kila mtu anampokea Yesu kwa namna alivyojiweka tayari. Vile ulivyojiandaa ndivyo na Yesu anakuja kwako.
100 💬 ⬇️

Hii Ndiyo Namna Pekee ya Kuwa na Amani Katika Maisha Yako

Featured Image
Ifahamu namna Pekee ya kuwa na amani katika maisha Yako. Jifunze Kitu Hapa na kufuata njia hii. Hakika utakua na Amani.
100 💬 ⬇️

Nguvu na Umuhimu wa Upendo

Featured Image
Katika fadhila zote, upendo ndio unaonyesha uwepo wa fadhila nyingine Upendo ni Amri kubwa kuliko zote Upendo ni Utimilifu wa Sheria Upendo ni Utakatifu
100 💬 ⬇️

Vile unavyoweza kuwa DARAJA au KIKWAZO kwa wengine

Featured Image
Kwa namna unayoishi unaweza ukawa daraja au kikwazo cha wengine kuishi maisha ya Amani raha na fanaka. Unaweza ukawa daraja kwa maana kwamba wewe unaweza kuwa sababu ya wengine kupata Baraka na neema za Mungu. Unaweza kuwa kikwazo kwa maana kwamba unaweza kuwa wewe ni sababu ya wengine kutokupata Baraka na Neema za Mungu.
101 💬 ⬇️

Tafakari ya leo kuhusu Uaminifu

Featured Image
Uaminifu ni kipimo na kigezo cha Ukamilifu na Utakatifu. Uaminifu ni ishara ya Upendo na tunda la uvumilivu. Uaminifu ni alama ya ushirika na Umoja.
100 💬 ⬇️

Mungu ni mwenye upendo, Huruma na Rehema hasa kwa Wenye dhambi

Featured Image
Mungu ni mwenye upendo Huruma na Rehema hasa kwa Wenye dhambi. Mungu yupo tayari kumsikiliza mtu yeyote mwenye dhambi kama ameutambua, amekiri na Kutubu makosa yake. Mungu akishamsamehe mtu uovu wake anambariki.
100 💬 ⬇️

Thamani ya Neno "Nimekusamehe"

Featured Image
100 💬 ⬇️

Yafahamu Mawazo na Mipango ya Mungu Kwako

Featured Image
Mungu daima anawaza Mema na Anampangia Mtu Mambo mema. Kama mtu ataenda katika njia ambayo Ipo katika mipango na mapenzi ya Mungu basi atapokea yale mema Mungu aliyopanga Kwake. Lakini kama mtu ataishi kwa kufuata mapenzi yake mwenyewe basi atapoteza yale mema Aliyopangiwa.
100 💬 ⬇️

Unafahamu kuwa Imani ni Cheti cha Kuweza Kupata Yote?

Featured Image
Imani ni njia ya kuweza kupata yote. Unachohitaji ni Imani. Naam kuwa na uhakika na unachokitarajia.
100 💬 ⬇️

TAFAKARI KUHUSU NAFASI YA MATESO NA SHIDA KATIKA MAISHA

Featured Image
Mungu hapendi mtu Ateseke lakini ni kwa njia ya ya Mateso mtu anaweza akapimwa IMANI yake, UNYENYEKEVU, UTII na Matumaini yake kwa Mungu. Mateso na shida katika maisha ni nafasi ya kujifunza na Kuonyesha unyenyekevu, Imani na Matumaini ya mtu.
100 💬 ⬇️
🏠 Home 📖 Reading 🖼️ Gallery 💬 AI Chat 📘 About