Huyu bibi kazidi sasa
Updated at: 2024-05-25 17:13:16 (1 year ago by SW - Melkisedeck Shine)
Bibi kapigwa mtama na Kibaka na kuporwa simu,
Kainuka na kuanza kumkimbiza kibaka,
Kibaka kuona Bibi hakati tamaa akatupa simu,
Bibi kaikota na kuendelea kumkimbiza kibaka,
Kibaka "Bibi kama ni simu yako si tayari umechukua",
Bibi kajibu "Bado Mtama"
bibi ujinga hapendagi" 😡😡😡😡😡
Read more
Close
Mipango ya mke na mume ya pasaka
Updated at: 2024-05-25 17:01:44 (1 year ago by SW - Melkisedeck Shine)
Mke: Unampango gani na pasaka hii mmewangu.. Mume: Nitafanya kama yesu.. Mke: Unamaanisha Nini?
Mume: Nitaondoka ijumaa na Kurudi j3.. Mke: Unanishangaza, kama utafanya hivi nami nitafanya kama Maria.. Mume: Unamaanisha Nini? Mke: Nitapata mimba bila ya kuingingiliwa na wewe mume wangu.. Mume: 😳😳😳
😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Read more
Close
Jambo la kufanya ukitaka mwanaume akusaidie kazi jikoni
Updated at: 2024-05-25 16:55:12 (1 year ago by SW - Melkisedeck Shine)
Fanya hivi
Ukitaka mwanaume akusaidie kazi jikoni mwambie "NAOMBA CM YAKO NIWASHE TOCHI TAA IMEUNGUA" atakusaidia kumulika mpaka unamaliza kazi zako zoote😂
Read more
Close
Huu ndio uhondo na raha ya kupanda daladala wajameni
Wasiopanda dalaladala wanakosa uhondo wa kauli hizi 1. nitakupa 2. Atapewa mbele 3. Hujapewa mbele? 4. Utapewa nyuma 5. Nitakupa nikikaa vizuri 6. Ngoja isimame nikupe
Updated at: 2023-04-29 22:53:04 (2 years ago by Melkisedeck Leon Shine)
Wasiopanda dalaladala wanakosa uhondo wa kauli hizi 1. nitakupa 2. Atapewa mbele 3. Hujapewa mbele? 4. Utapewa nyuma 5. Nitakupa nikikaa vizuri 6. Ngoja isimame nikupe
7. subiri asimamishe nikupe 8. hivi nlivyo kaa ntakupaje? 9. Utapewa tulia 10. Nikupe mara ngapi?
Read more
Close
Cheki kilichompata huyu dada!!
Updated at: 2023-04-29 22:52:39 (2 years ago by Melkisedeck Leon Shine)
NDOA inafungwa KANISANI Mchungaji akauliza-Yeyote mwenye Pingamizi La Ndoa hii kufungwa aje Mbele, +++ KIBABU kikasimama na kwenda Mbele, Bi harusi akaanguka na akazimia ghafla!😭😭😭 Mchungaji- Tuambie Babu Pingamizi Lako! Babu-Nimeamua kuja mbele,kule nyuma sisikii vizuri! watu hoiiii!! hata mimi hoi…😃😃😃😃😃😃😃
Read more
Close
Hii ya mamba na kiboko kali, Wewe unaonaje?
Updated at: 2024-05-25 17:04:43 (1 year ago by SW - Melkisedeck Shine)
Eti kati ya MAMBA na KIBOKO nani kiboko???😜😜😜😜 Mi naona MAMBA ndo kiboko !😳 Ujinga mbele kwa mbele😜😜😜😜😜🏃🏻🏃🏻🏃🏻🏃🏻🏃🏻
Read more
Close
Angalia mchezo wa kutuma message mara zikubali mara zikatae.. Lilishakukuta hili???
Updated at: 2024-05-25 18:10:08 (1 year ago by SW - Melkisedeck Shine)
GARLFREND»»hellow sweetheart
BOYFREND»»hellow darling(SENDING FAILED)
GARLFREND»»kwanin hutaki kujibu sms yangu,au huna mda»??
BOYFREND»>najitahid kukujibu lakin mtandao unasumbua,imefika??(SENDING FAILED)
GARLFREND»»kama hunipend bhas usinijbu,kama unanipenda kwel bhas nijibu
BOYFREND»»i love you (SENDING FAILED) GALFREND»»do you lov me????
BOYFREND»»i lov you baby(SENDING FAILED)
GARLFREND»»usiongee na mimi tenaaaaa
BOYFREND»»i love you sweetieeee(SENDING FAILED)
GARLFREND»»unataka mim na wew tuachaneee????
BOYFREND»»nshachoka mie na huu upUmbavu,shenz (MESSAGE SENT)
👆👆👆👆👆😄😄😄😄😄😄😄😄👆👆👆👆😄😄😄😄👆👆😄😄👆👆
Read more
Close
KICHEKESHO: Ukiona masikini Kachinja kuku
Updated at: 2024-05-25 17:09:35 (1 year ago by SW - Melkisedeck Shine)
Ukiona masikin kachinja kuku basi kat ya kuku au yeye kuna mmoja atakua mgonjwa 😆😆😆😆
Read more
Close
Duh! Kizungu kigumu, cheki alichojibu huyu
Updated at: 2024-05-25 17:55:14 (1 year ago by SW - Melkisedeck Shine)
```Nimetoka interview hapa ya job flani Wameniuliza "so how far did you go with your education?", nikawaambia.. """""I didn't go very far because our school was just behind our house""" wameniambia ningojee watanipigia!```……. 😀 *your prayers plz*
Read more
Close
Mkwe kazua mpya, Hii dunia ina mambo sana
Mama mkwe alimuuliza mkwewe "binti" samahani mbona mtoto hajafanana na mwanangu kabisa?
Binti akajibu, "bila samahani mama huku chini nina njia ya uzazi sio mashine ya photocopy"
Updated at: 2024-05-25 18:07:48 (1 year ago by SW - Melkisedeck Shine)
Mama mkwe alimuuliza mkwewe "binti" samahani mbona mtoto hajafanana na mwanangu kabisa?
Binti akajibu, "bila samahani mama huku chini nina njia ya uzazi sio mashine ya photocopy" mama mkwe hoii!! Chezea Wakwe Wa Bongo wewe.
Read more
Close