Log in to access your menu with tools for managing 📝 tasks, 👥 clients, 💰 finances, 📖 learning, 🔍 personal growth, and 🌟 spirituality, all in one place!.
Welcome to AckySHINE, your go-to platform for personal growth, productivity, and well-being, offering tools tailored to organize your life, manage finances, and deepen your journey.
Updated at: 2024-05-25 15:36:28 (1 year ago by SW - Melkisedeck Shine)
, - .(. - . '. .' ' . . . ' Napenda tunda hili likupoze makali uliyo nayo moyoni, Nimeliosha kwa maji safi na salama kwa ajili yako lipo tayari kuliwa. "APPLE" Ni tunda lenye ishara ya UPENDO, AMANI & FURAHA. napenda liwe zawadi kwako siku hii ya leo .
Ujumbe wa mahaba wa kumtumia umpendaye kumwambia anahisia gani kuhusu mapenzi
Updated at: 2024-05-25 15:23:32 (1 year ago by SW - Melkisedeck Shine)
mapenzi ni hisia zilizopo moyoni mwetu,hujidhihirishe pale unapopata umpendaye,utamu wake ni zaidi ya sukari uchungu wake ni zaidi ya shubiri je kwako yapo je?
Updated at: 2024-05-25 15:25:30 (1 year ago by SW - Melkisedeck Shine)
Ni ngumu kwa watu wawili kupendana wanapoishi Dunia tofauti, lakini Dunia hizo zikutanapo na kuwa kitu kimoja, hiyo ndiyo maana ya kuitwa wewe na mimi.
SMS ya kumtumia mpenzi wako kumuahidi kuendelea kumpenda daima
Updated at: 2024-05-25 15:22:36 (1 year ago by SW - Melkisedeck Shine)
Moyo wangu umehifadhi hisia zako, nakuahidi kamwe sintopunguza upendo kwako, tunza sms hii ya ahadi kwenye simu yako, iwe kumbukumbu kila uisomapo! "NAKUPENDA MALAIKA WANGU"