Log in to access your menu with tools for managing ๐ tasks, ๐ฅ clients, ๐ฐ finances, ๐ learning, ๐ personal growth, and ๐ spirituality, all in one place!.
Updated at: 2023-04-29 22:53:10 (3 years ago by Melkisedeck Leon Shine)
MLEVI mmoja aliingia baa akavuta kiti na kukaa mhudumu akatokea kumsikiliza. MHUDUMU: Nikusaidie nini? MLEVI: Eeh! nipe bia ya baridi kisaha wasikilize wote waliokaa hapa, wape bia na wao maana sipendi kunywa pombe wengine wananiangalia Akaja mhudumu wa jikoni "nikusaidie nini?"