Kweli shilingi yaua, Huyu jamaa kapatikana, angalia anachomjibu mke wake,
Date: December 25, 2020
Author: SW - Melkisedeck Shine
Jamaa alikuwa anagombana na mkewe,hatimae
akamwambia kwa ukali
"Unajua nimechoka sasa, haya kusanya nguo
zako naβ¦β¦..
Kabla hajamalizia sentensi simu
ya mkewe ikaita, kumbe alikuwa ni baba yake.
Basi mzee akaanza kuongea na binti yake huku
jamaa anasikia
"Aisee mwanangu nimebahatika kuuza ile
nyumba yangu sasa nimeona niwatumie milioni
20 mjaribu kuanzisha mradi na mwenzio.
Haya mwambie yeye nitampigia kesho kama
ana mradi mwingine nimpe hela kidogo".Baada
ya simu kukatwa mke akamgeukia jamaa
akamuuliza,"eeenhee!!! ulikuwa unasema
umenichoka nikusanye nguo zangu halafu
iweje? Jamaa kwa upole akajibu "Nilikuwa
nasema ukusanye nguo zako na unipe nifue".
Please log in or register to leave a comment or reply.
Related Posts
Jamaa aliokota wallet, alipofika nyumbani akapiga simu kwenye radio station
"Naitwa John nimepiga s...
Read More
1. Maswali haya je una majibi? JIBU KISHA NITUMIE MAJIBU![mtihani wa maarifa ya dunia...
Read More
Huu Mwezi jinsi nilivyofulia yaani hata nikikuta mende wamesimama wawili najua wananisem...
Read More
Mchaga baada ya kufa akaulizwa na malaika anayetoa roho: Mangi hapa ni njiapanda kulia ni Mbingun...
Read More
Zuzu: Mambo Anna!
Anna: Poa!
Zuzu: Kuna kitu nataka nikuonyesheβ¦
Anna: Kitu gan?...
Read More
Kama simu yako ina Wi-fi ujue uko na mke wa mtuΒ ππππππππ...
Read More
Kuna jamaa kapita hapa kaniuliza et mbona umekunja sura nikamjibu nataka niweke kwenye begiππ...
Read More
JE WAJUA?
Sungura, panya na Jamii zao huwa na mwendo wa kukimbia na kuruka muda wote na umr...
Read More
"MAENEO FLANI ya KISHUA"
-Mshikaji kamwona demu mkali
anakatiza kitaa akamkubali akaam...
Read More
Kuna washikaji walikuwa wakivuta bangi⦠kiberiti kikawaishia⦠wakamtuma mwenzao akatafute ki...
Read More
Jamaa alimfumania mtu anazini na mkewe,
Akamtoza Faini ya sh 5000 tu,yule mtu akatoa 10000....
Read More
Jana niligombana na mke wng, Akaniambia nibebe kila kitu changu niondoke, Bas kiustaarabu...
Read More
Patrick Mutua (Guest) on October 6, 2019
Lazima niihifadhi hii, ni kichekesho kali sana! π
Juma (Guest) on September 24, 2019
π Umeshinda mtandao leo!
Joyce Mussa (Guest) on September 13, 2019
π€£ Hii imewaka moto!
James Kimani (Guest) on September 6, 2019
Nimecheka hadi nina furaha sana! π€£π
Isaac Kiptoo (Guest) on August 9, 2019
Hii joke imenikumbusha enzi zile! ππ
Joy Wacera (Guest) on August 7, 2019
Hii ni joke ya kipekee sana! ππ
Safiya (Guest) on June 23, 2019
Hii imeniboresha wakati wangu wa mapumziko! βπ
Husna (Guest) on June 17, 2019
π Imeongezwa kwenye vipendwa!
Paul Ndomba (Guest) on April 2, 2019
Hii imenifurahisha hadi ninacheka kwa sauti! ππ
Agnes Lowassa (Guest) on March 24, 2019
π Bado ninacheka!
Faith Kariuki (Guest) on March 18, 2019
Nimeipenda hii joke! ππ
Alex Nakitare (Guest) on March 7, 2019
Hii imenipa furaha ya siku! ππ
Jafari (Guest) on March 6, 2019
Hii kichekesho inastahili tuzo! π
Maimuna (Guest) on February 10, 2019
Nilihitaji kicheko hiki, asante kwa kushiriki! π
Susan Wangari (Guest) on January 23, 2019
π Sijacheka hivi kwa muda mrefu sana!
Irene Makena (Guest) on January 14, 2019
π€£π€£ππ
Monica Nyalandu (Guest) on January 8, 2019
π Lazima nihifadhi hii!
Warda (Guest) on January 4, 2019
Hii kichekesho itaingia moja kwa moja kwenye vipendwa vyangu! π
David Nyerere (Guest) on December 20, 2018
Nimecheka hadi nimemiss kicheko! ππ
Grace Mushi (Guest) on November 4, 2018
Hii imenifurahisha sana! ππ
Irene Makena (Guest) on October 22, 2018
π Hii ni ubunifu wa hali ya juu!
Lucy Mahiga (Guest) on September 16, 2018
Ucheshi wenu ni wa hali ya juu sana! ππ€£
George Ndungu (Guest) on August 16, 2018
Huu ucheshi hauna kifani! π€£π₯
Margaret Anyango (Guest) on August 15, 2018
π€£ Hii kichekesho ni nzuri sana!
Bahati (Guest) on August 8, 2018
π Nimeipenda kabisa hii!
Irene Akoth (Guest) on July 23, 2018
π Dhahabu ya vichekesho!
Daniel Obura (Guest) on July 20, 2018
Hii imenichekesha sana! ππ
Sultan (Guest) on July 1, 2018
π Ninacheka sana sasa hivi!
Janet Mbithe (Guest) on June 24, 2018
Hii ni ya kufurahisha sana! ππ
Nasra (Guest) on May 25, 2018
π Siwezi kusubiri kushiriki hii!
Alex Nyamweya (Guest) on May 21, 2018
Kweli mna ucheshi wa kipekee sana! ππ
Alice Wanjiru (Guest) on April 28, 2018
π Siwezi kuacha kucheka!
Mary Njeri (Guest) on April 22, 2018
π Kicheko bora ya siku!
Ruth Kibona (Guest) on March 22, 2018
Haha, mbavu zangu zinauma kwa kucheka sana! π€£
Mwanajuma (Guest) on March 21, 2018
π Kichekesho kamili!
Brian Karanja (Guest) on March 20, 2018
Nimecheka hadi nimesahau shida! π€£π
Mchawi (Guest) on March 17, 2018
Nitaeleza hii kwa marafiki zangu bila shaka! π
Hassan (Guest) on March 10, 2018
π Hii imenigonga kweli!
Makame (Guest) on January 31, 2018
π Hii imenichekesha kwa sauti kweli!
Benjamin Masanja (Guest) on January 24, 2018
π Naihifadhi hii!
Joyce Mussa (Guest) on January 20, 2018
Hii ni kichekesho kali sana, ninashiriki na kila mtu! π
Victor Sokoine (Guest) on November 29, 2017
Hii imenikuna sana! ππ
Peter Mbise (Guest) on November 20, 2017
Bado nacheka, hiyo ilikuwa nzuri sana! π€£
Anna Mchome (Guest) on October 14, 2017
Ucheshi wenu unanifurahisha kila siku! ππ
Joyce Aoko (Guest) on September 12, 2017
Umesema kweli! ππ
Betty Kimaro (Guest) on August 15, 2017
Umetisha! ππ
Khadija (Guest) on July 29, 2017
π Bado nacheka, siwezi kuacha!
Elizabeth Mtei (Guest) on July 1, 2017
Hii kichekesho ni ya kuhifadhi bila shaka! π
Robert Ndunguru (Guest) on June 28, 2017
Huyu alikuwa na point! ππ
Shabani (Guest) on June 18, 2017
π Ninaituma hii kwa kila mtu ninayemjua!
Thomas Mtaki (Guest) on June 17, 2017
Kama kawaida! Bado nacheka! π
Maneno (Guest) on May 26, 2017
π Bado nacheka!
Carol Nyakio (Guest) on April 14, 2017
Nimecheka hadi mbavu zinauma ππ
Margaret Mahiga (Guest) on April 1, 2017
Nimefurahia sana hii joke! π π
Joyce Nkya (Guest) on March 10, 2017
ππ π
Victor Sokoine (Guest) on March 9, 2017
ππ€£ππ
Margaret Anyango (Guest) on February 4, 2017
ππππ
Mary Kidata (Guest) on December 26, 2016
Kweli mna ucheshi wa hali ya juu! ππ€£
Janet Wambura (Guest) on December 23, 2016
Hii imenikuna hadi nina furaha! ππ
Janet Mbithe (Guest) on December 17, 2016
Huyu mtu ni mcheshi sana! ππ