Alichojibu dalali baada ya kufumwa na mke wa mtu ndani ya nyumba ya kupanga
Date: July 25, 2021
Author: SW - Melkisedeck Shine
Dalali aliwatafutia jamaa chumba Buguruni karibu na reli, nyumba nzuri sana. Jamaa na mkewe wakahamia kwa furaha, lakini furaha yao iliisha walipokuja gudundua nyumba ile iko karibu mno na reli treni ikipita mpaka kitanda kinacheza.
Siku hiyo dalali akapita mke akamwita na kumwambia tatizo wakati treni inapita, wakaanza kubishana, yule mama akamwambia dalali kwa kuwa kuna treni itapita sasa hivi⦠njoo ndani uone mwenyewe.
Bahati mbaya wakiwa wamejilaza kitandani ili dalali aone adhabu wanayopata, Mzee mwenye mali alirudi ghafla, akauliza,
'Nyie mnafanya nini hapa?'
Masikini dalali kwa woga mkubwa akajibu' Tunangoja treni'
Please log in or register to leave a comment or reply.
Related Posts
Sitasahau mwaka ule ambapo nilipeleka barua ya maombi yangu ya kazi kwenye kampuni moja ...
Read More
Ushawai kumpenda dem na kumfia mazima kiasi kwmb anakwambia ye ana msela lkn we huelewi..unamkaz...
Read More
π§: "Mpenzi, nakuomba uache kulewa"
π¨: "poa, na wewe acha ...
Read More
Mtoto: Mwalimu mimi nataka nisome darasa la nne kwani hili la3 halinifai.
Mwalimu: Kwa nini...
Read More
Za asubuhi?
Nzur sjui huko?
Huku kwema tuu
VP si ulimaliza chuo ww?
Ndio ...
Read More
Kuishi kijijini kunahitaji moyo sana
..unaenda kuoga, unakumbuka k...
Read More
Mtoto alimwuuliza baba yake,
Mtoto: Baba unaweza kumwachia hilo gari lako house boy/girl aka...
Read More
Et
Umexhawah kuwa single had ukaamua kununua viatu vya kike kix...
Read More
Mchaga baada ya kufa akaulizwa na malaika anayetoa roho: Mangi hapa ni njiapanda kulia ni Mbingun...
Read More
Mkaka aliingia kwenye hoteli moja akaketi meza moja na mdada mrembo maarufu sana;
MKAKA: Sam...
Read More
Wanaume wenye kushinda vishawishi ni;
Wanaume ambao mnaweza kula wali hadi mwisho bila kugu...
Read More
Nimeblockiwa bila kosa X Girlfriend From no where kanitext eti Hi; Vp na huko kwenu mvua...
Read More
Sarafina (Guest) on July 21, 2017
π Bado nacheka!
Anna Sumari (Guest) on July 2, 2017
π€£π€£ππ
Mwanaidha (Guest) on May 3, 2017
Haha! Sijacheka hivi kwa muda mrefu! π€£
Grace Wairimu (Guest) on April 5, 2017
ππππ
Elizabeth Mtei (Guest) on April 2, 2017
Ucheshi wa hali ya juu! ππ
Stephen Mushi (Guest) on March 29, 2017
Kweli mnajua kuchekesha! ππ
Patrick Akech (Guest) on March 21, 2017
Hii ni joke ya kipekee sana! ππ
Dorothy Majaliwa (Guest) on March 13, 2017
Mna talent ya jokes! ππ
Joy Wacera (Guest) on February 17, 2017
π πππ
Rose Amukowa (Guest) on February 6, 2017
Huyu mtu ni mcheshi sana! ππ
Jacob Kiplangat (Guest) on February 2, 2017
Hii ni kali sana! ππ€£
Alice Mwikali (Guest) on February 2, 2017
Hii imenikuna hadi nina furaha sana! ππ
Violet Mumo (Guest) on January 29, 2017
Ucheshi wenu ni wa hali ya juu! ππ€£
Mariam Kawawa (Guest) on December 3, 2016
Nimecheka hadi nina furaha sana! π€£π
Faith Kariuki (Guest) on November 29, 2016
π Ninashiriki mara moja!
Zuhura (Guest) on November 29, 2016
π Bado nacheka, siwezi kuacha!
Philip Nyaga (Guest) on November 27, 2016
πππ€£
Anna Sumari (Guest) on November 21, 2016
π€£ Hii imewaka moto!
Michael Mboya (Guest) on November 21, 2016
ππ€£ππ
Catherine Naliaka (Guest) on October 31, 2016
π€£ Kichekesho bora kabisa!
Isaac Kiptoo (Guest) on October 23, 2016
Mna kipaji cha ucheshi! ππ
Yusra (Guest) on October 1, 2016
π Umeshinda mtandao leo!
Fatuma (Guest) on September 1, 2016
π€£ Nalia kwa kicheko kweli!
Nora Lowassa (Guest) on August 11, 2016
Siwezi kusubiri kuieleza kwenye sherehe yangu inayofuata! π
James Mduma (Guest) on August 10, 2016
ππ
Joseph Njoroge (Guest) on July 22, 2016
π Ninaihifadhi hii!
John Mwangi (Guest) on July 11, 2016
Hii imenikuna! ππ
Miriam Mchome (Guest) on July 9, 2016
Sikutarajia hiyo punchlineβkichekesho! π€£
George Wanjala (Guest) on July 7, 2016
Nimecheka hadi nimepata furaha! ππ
Sumaya (Guest) on July 7, 2016
Hii imeniboresha wakati wangu wa mapumziko! βπ
Irene Akoth (Guest) on June 12, 2016
Hii imenikuna sana! ππ
Joy Wacera (Guest) on May 31, 2016
Nimecheka hadi machozi yanatoka! π€£π
Nyota (Guest) on April 29, 2016
π Nilihitaji kicheko hicho!
Sarah Karani (Guest) on April 18, 2016
Kweli mna ucheshi! ππ€£
Mary Mrope (Guest) on March 25, 2016
Hii imenipa kicheko cha siku! ππ€£
Nancy Komba (Guest) on February 28, 2016
Hii kichekesho ni ya kuhifadhi bila shaka! π
Kijakazi (Guest) on February 28, 2016
π Bado nacheka!
Josephine Nekesa (Guest) on February 8, 2016
Hii imenikumbusha enzi zile! π π
Sarah Karani (Guest) on February 7, 2016
Nimecheka hadi nimesahau shida zangu! ππ
Rose Kiwanga (Guest) on January 25, 2016
Hii imenifurahisha sana! π€£π
Ibrahim (Guest) on January 17, 2016
π Nacheka hadi chini!
Dorothy Majaliwa (Guest) on December 28, 2015
Hii imenifurahisha hadi nacheka kwa sauti! π€£π
Benjamin Masanja (Guest) on December 21, 2015
Hii ni joke ya maana sana! ππ
Josephine Nekesa (Guest) on December 13, 2015
π Bado nacheka!
Joseph Mallya (Guest) on December 4, 2015
π€£ππ
Fatuma (Guest) on November 16, 2015
π Kichekesho kamili!
Paul Kamau (Guest) on October 21, 2015
Hii ni aina ya kichekesho usichosahau! π
Rashid (Guest) on October 13, 2015
π Ninahitaji kuihifadhi hii milele!
John Kamande (Guest) on September 20, 2015
Hii ni joke ya kipekee! π€£π
Charles Wafula (Guest) on September 10, 2015
Kweli mna kipaji cha ucheshi! ππ
Robert Okello (Guest) on September 2, 2015
π Kali sana!
Dorothy Majaliwa (Guest) on June 3, 2015
Kweli mna ucheshi wa kipekee! ππ€£
Ann Awino (Guest) on June 1, 2015
Napenda vile mnaweka jokes kila siku! ππ
Lucy Wangui (Guest) on May 20, 2015
Hii joke ni ya kufurahisha! π€£π€£
Rukia (Guest) on May 11, 2015
Asante Ackyshine
Jacob Kiplangat (Guest) on May 10, 2015
Bado nacheka, hiyo ilikuwa nzuri sana! π€£
Agnes Lowassa (Guest) on April 1, 2015
Nimependa hii! Endelea kuzileta! π