Warning: Undefined variable $user_id in /home/ackyshine/personal/sidebar.php on line 36
Sidebar with Floating Button
AckySHINE πŸ”
☰
AckyShine

Cheki masifa yalivyomponza huyu, Sifa nyingine ni mbaya jamani

Featured Image
Mbongo, Mganda, na Mkenya walikamatwa na makosa Uchina. Wakaambiwa adhabu ni ama kifo cha moja kwa moja au adhabu nyingine ambayo atakayeifaulu atakuwa huru, atakayeshindwa atauawa. Basi wao wakaomba wapewe hiyo adhabu nyingine wajaribu bahati yao. Wakapelekwa msituni wakaambiwa kila mmoja aende kwa njia yake halafu arudi na matunda kumi ya kufanana. Wakaingia msituni kila mtu njia yake. … Mganda akarudi wa kwanza na machungwa kumi. Akaambiwa adhabu yake ni kumeza moja moja likiwa zima bila kufumba macho bila kulia wala kucheka wala kujitikisa mpaka yote kumi yaishe. Akameza la kwanza. Safi. Kumeza la pili, akashindwa kuvumilia akafumba macho. Akapigiwa risasi akafa. Mkenya akaja. Ana vitunda vidogo vidogo kama pili vilaini. Akasomewa masharti. Akaanza kumeza bila kufumba macho wala kulia, wala nini… alipofika cha tisa akashindwa kuvumilia akaangua kicheko! Akapigwa risasi pia akafa. Wakiwa kuzimu Mganda akamwuliza Mkenya, β€œVipi, mbona ulishindwa kuvumilia wakati kilibaki kitunda kimoja tu?” Mkenya akamjibu: β€œMkuu, nilishindwa kuzuia kicheko maana nilimwona Mbongo anakuja na matikiti maji!”
AckySHINE Solutions

Comments

Please log in or register to leave a comment or reply.

Michael Onyango (Guest) on February 15, 2017

Hii imenifurahisha sana! πŸ˜‚πŸ˜‚

Salima (Guest) on February 12, 2017

πŸ˜„ Umeimaliza kabisa!

Edward Chepkoech (Guest) on February 5, 2017

Ucheshi wa hali ya juu! πŸ˜‚πŸ‘

Victor Malima (Guest) on January 8, 2017

Hii imenifurahisha sana! πŸ˜ŠπŸ˜…

Nyota (Guest) on December 26, 2016

πŸ˜‚ Siwezi kusubiri kushiriki hii!

Michael Mboya (Guest) on December 7, 2016

Nimecheka hadi nina furaha sana! 🀣😊

Edward Lowassa (Guest) on December 7, 2016

πŸ˜‚ Siwezi kuacha kucheka!

Wilson Ombati (Guest) on November 21, 2016

πŸ€£πŸ€£πŸ˜„πŸ˜†

Anna Sumari (Guest) on November 16, 2016

🀣 Nalia kwa kicheko kweli!

Raphael Okoth (Guest) on November 13, 2016

Nimecheka hadi nimesahau shida zangu! πŸ˜ŠπŸ˜…

Charles Mrope (Guest) on September 30, 2016

Kweli mnajua kuchekesha watu! πŸ€£πŸ˜‚

Raphael Okoth (Guest) on September 26, 2016

Nimependa hii! Endelea kuzileta! 😁

Hashim (Guest) on September 14, 2016

πŸ˜‚ Hii ni kali sana!

Janet Sumaye (Guest) on September 12, 2016

πŸ˜‚πŸ˜‚

Tabitha Okumu (Guest) on August 24, 2016

πŸ˜…πŸ˜ŠπŸ˜‚πŸ‘

Khadija (Guest) on July 29, 2016

Hii kichekesho imenifurahisha sanaβ€”imebamba! 🀣

Charles Mchome (Guest) on July 4, 2016

πŸ€£πŸ€£πŸ‘πŸ˜†

Stephen Kikwete (Guest) on May 31, 2016

Huyu mtu ni mcheshi sana! πŸ˜‚πŸ˜‚

Ruth Wanjiku (Guest) on April 29, 2016

πŸ˜„ Hii ni ubunifu wa hali ya juu!

Francis Njeru (Guest) on April 24, 2016

πŸ˜„ Dhahabu ya vichekesho!

Nancy Kabura (Guest) on April 13, 2016

Hii imenipa kicheko cha siku! πŸ˜ŠπŸ˜†

John Lissu (Guest) on April 12, 2016

Nimecheka hadi machozi yanatoka! 🀣😭

Francis Njeru (Guest) on April 3, 2016

πŸ˜ŠπŸ˜‚πŸ€£

Linda Karimi (Guest) on April 1, 2016

Ucheshi wenu unanifurahisha kila siku! πŸ˜†πŸ˜‚

David Kawawa (Guest) on March 25, 2016

Hii joke imenikumbusha enzi zile! πŸ˜ŠπŸ˜‚

Bernard Oduor (Guest) on March 25, 2016

Hii ni joke ya kufurahisha sana! πŸ‘πŸ˜†

Stephen Kangethe (Guest) on March 14, 2016

🀣 Kichekesho bora kabisa!

David Sokoine (Guest) on March 10, 2016

Hii imeniboresha wakati wangu wa mapumziko! β˜•πŸ˜†

Charles Mrope (Guest) on March 2, 2016

Napenda jinsi mnavyofikiria! πŸ€”πŸ˜†

Benjamin Kibicho (Guest) on February 8, 2016

πŸ˜‚ Ninaituma hii kwa kila mtu ninayemjua!

Ruth Kibona (Guest) on January 17, 2016

🀣πŸ”₯😊

Wilson Ombati (Guest) on December 26, 2015

Nimefurahia sana hii joke! πŸ˜…πŸ˜‚

Rose Lowassa (Guest) on December 21, 2015

Nimecheka hadi nimepata furaha! πŸ˜ŠπŸ˜†

Kiza (Guest) on December 21, 2015

🀣 Sikutarajia hiyo!

Joyce Aoko (Guest) on December 16, 2015

Hii ni joke ya kipekee sana! πŸ˜ŠπŸ‘

Victor Mwalimu (Guest) on December 5, 2015

πŸ˜„ Kichekesho kamili!

Mgeni (Guest) on November 14, 2015

😁 Hii ni dhahabu!

Mjaka (Guest) on October 24, 2015

Lazima niihifadhi hii, ni kichekesho kali sana! πŸ˜†

Tabitha Okumu (Guest) on October 23, 2015

Hii ni ya kufurahisha sana! πŸ˜ŠπŸ˜„

David Kawawa (Guest) on October 1, 2015

Hii ndio nilihitaji leo! Asante! 😜

Tambwe (Guest) on September 24, 2015

😁 Hii imenifanya siku yangu iwe bora!

Alice Mwikali (Guest) on September 23, 2015

Ucheshi wenu unanifurahisha! πŸ˜ŠπŸ˜‚

David Nyerere (Guest) on September 6, 2015

πŸ˜„ Umenishika vizuri!

Rose Mwinuka (Guest) on September 4, 2015

Hii imenikuna! πŸ˜†πŸ˜Š

Linda Karimi (Guest) on August 12, 2015

Haha, mbavu zangu zinauma kwa kucheka sana! 🀣

Jackson Makori (Guest) on August 6, 2015

Kweli mna ucheshi! πŸ˜‚πŸ€£

Lydia Wanyama (Guest) on July 27, 2015

Hii imenikumbusha kicheko cha zamani! πŸ˜‚πŸ˜…

Monica Adhiambo (Guest) on July 17, 2015

πŸ˜† Nacheka hadi chini sasa hivi!

Frank Macha (Guest) on July 3, 2015

πŸ˜‚πŸ‘Œ

Henry Sokoine (Guest) on June 20, 2015

Ninashiriki hii na marafiki zangu mara moja! πŸ˜†

Joyce Mussa (Guest) on June 14, 2015

Nimecheka hadi nina furaha sana! πŸ˜ŠπŸ˜‚

Nancy Akumu (Guest) on May 17, 2015

Nitaeleza hii kwa marafiki zangu bila shaka! πŸ˜„

Samuel Omondi (Guest) on May 12, 2015

Hii imenifurahisha hadi nacheka kwa sauti! πŸ€£πŸ˜‚

Brian Karanja (Guest) on May 6, 2015

πŸ˜‚ Hii kichekesho imenifurahisha siku nzima!

David Sokoine (Guest) on May 4, 2015

Hii imenifurahisha hadi nacheka kwa sauti! πŸ€£πŸ˜…

Victor Malima (Guest) on April 5, 2015

πŸ˜† Naihifadhi hii!

Related Posts

Ungekua wewe ndio baba wa Huyu mtoto ungemjibu nini?

Ungekua wewe ndio baba wa Huyu mtoto ungemjibu nini?

MTOTO: Hivi Baba wewe umezaliwa wapi?????
BABA: Mbeya

<... Read More
Wachaga wana mambo mbele ya hela, angalia hii bili ilivyomchanganya MASSAWE

Wachaga wana mambo mbele ya hela, angalia hii bili ilivyomchanganya MASSAWE

MASSAWE alienda na marafiki zake bar kunywa, baada ya kumaliza kutumia akal... Read More

Angalia kilichonikuta nilipoenda kwa mganga

Angalia kilichonikuta nilipoenda kwa mganga

Usije ukaenda kwa mganga, mwenzako yamenikuta, yani masharti niliyopewa, acha tu,
yalikua hi... Read More

Hii sasa ni kali

Hii sasa ni kali

Siku izi kujuana kumezidi hata ukienda msibani kama hauna connection hauli msosi

πŸ˜‚πŸ˜... Read More

Tofauti ya mke na mchepuko!!!

Tofauti ya mke na mchepuko!!!

MKE NA MCHEPUKO.

Mke ni kama Tv na Mchepuko ni kama Simu.
Nyumbani unaangalia Tv lakin... Read More

Nani Mkali Hapa kati ya DEMU na MSHIKAJI?

Nani Mkali Hapa kati ya DEMU na MSHIKAJI?

"MAENEO FLANI ya KISHUA"

-Mshikaji kamwona demu mkali
anakatiza kitaa akamkubali akaam... Read More

Kauli 10 mbaya za walimu darasani, unakumbuka ipi hapa?

Kauli 10 mbaya za walimu darasani, unakumbuka ipi hapa?

1:Mkimaliza kuongea niambieni niendelee kufundisha

2:Baba yako kauza ng'ombe ili alete ng'o... Read More

Wanaume ni noma, Angalia wanachokifanyaga wakimwona mwanamke

Wanaume ni noma, Angalia wanachokifanyaga wakimwona mwanamke

Wanaume ni viumbe WASTAARABU sana..Mdada anapokua kavaa BIKINI na BRA tu, 98% ya mwili wake unak... Read More

Ndege ya Tanzania

Ndege ya Tanzania

Kuna maprofesa 40 walipanda AIR TANZANIA ili wasafari. Kabla ndege haijaanza kuondoka, Lilipita t... Read More

Hii mitoto mingine mijinga, cheki alichokifanya huyu

Hii mitoto mingine mijinga, cheki alichokifanya huyu

Nimeamka asubuhi nikiwa na elfu 1 tu mfukoni, nikamtuma mtoto wa jirani akaninunulie maa... Read More

Mambo ya pesa haya..

Mambo ya pesa haya..

MAMBO YA FEDHA AISEE……. Kuna jamaa alipewa shilingi 983628763600/= …acha uvivu, najua hujas... Read More

Muda mzuri wa kulipa mahari

Muda mzuri wa kulipa mahari

Amini Nawaambieni

Hakuna Muda Mzuri wa Kulipa Mahari Kama Mwezi January. Baba Mkwe Anapo... Read More

πŸ“– Explore More Articles
🏠 Home πŸ“– Reading πŸ–ΌοΈ Gallery πŸ’¬ AI Chat πŸ“˜ About