1. Mwanaume hata awe bahili vipi, hawezi kumpa mwanamke mimba nusu.
2. Hata uwe na magari mangapi chooni utaenda kwa miguu.
3. Kama ubinadamu kazi mbona hatupewi mishahara?
4. Ukichanganya wali na choroko unapata mseto, lakini hautibu malaria.
5. Hata njiwa nae ana makinda, lakini hawezi kuwa spika wa Bunge.
6. Hata uwe na haraka vipi kwenda Zenj, huwezi kupanda Jahazi ya Yusuph Mzee.
7. Umeme hauna kiuno lakini unaongoza kwa kukatika.
8. Hata uwe kauzu vipi, huwezi kujamba wakati unatongoza.
9. Hata uwe na imani kali vipi, huwezi kusali wakati unafanya mapenzi.
10. Hata kizibo ni mfuniko lakini hauwezi
kufunika sufuria.
Henry Mollel (Guest) on July 25, 2015
Huyu alikuwa na point! ππ
Rabia (Guest) on July 10, 2015
π Umeimaliza kabisa!
Grace Njuguna (Guest) on July 8, 2015
π Sijacheka hivi kwa muda mrefu sana!
Faith Kariuki (Guest) on June 24, 2015
π€£ Sikutarajia hiyo!
Bernard Oduor (Guest) on June 23, 2015
π Nilihitaji kicheko hicho!
Josephine Nekesa (Guest) on June 14, 2015
Hii ndio nilihitaji leo! Asante! π
Chris Okello (Guest) on June 13, 2015
Kweli mna ucheshi wa kipekee sana! ππ
Joseph Mallya (Guest) on June 8, 2015
π€£π€£ππ
Mercy Atieno (Guest) on June 7, 2015
ππ€£
Grace Minja (Guest) on May 29, 2015
π Hiyo punchline!
Tabitha Okumu (Guest) on May 28, 2015
π Bado nacheka, siwezi kuacha!
Victor Mwalimu (Guest) on April 20, 2015
Huu ucheshi hauna kifani! π€£π₯
Lucy Mahiga (Guest) on April 9, 2015
Hii imenikuna hadi nina furaha sana! ππ