Kama watu wanataka kuacha kuvuta sigara au kunywa pombe wafanyeje?
Date: April 15, 2022
Author: SW - Melkisedeck Shine
Kwanza kabisa, watu ni kweli wawe wamedhamiria kuacha.
Hii inataka uamuzi wa wazi na nia imara kwa sababu si rahisi
kuacha.
Pili, mtu anatakiwa kufikiria ni katika mazingira gani huwa
anajisikia kuvuta sigara au kunywa pombe. Hii kwa kawaida ni
pamoja na kundi maalumu la marafiki, katika sherehe, baada ya
kazi ngumu, baada au wakati wa kula. Kwa hiyo, kama wanataka
kuacha kuvuta sigara au kunywa pombe, wanatakiwa kubadili
mtindo wa maisha na kuepuka vishawishi.
Hatua ya kwanza katika kuacha kuvuta sigara au kunywa
pombe, inaweza ikawa ni kujiwekea malengo; kwa mfano, kuacha
kuvuta sigara kwa wiki nzima. Jipongeze kuwa umetimiza lengo
lako. Kama umeshindwa anza tena. Ni watu wachache ambao
wameweza kuacha kabisa katika jaribio la kwanza. Watu
wengine wanapata ugumu kuacha kabisa pombe na sigara.
Please log in or register to leave a comment or reply.
Related Posts
Utumiaji wa nguvu
katika mahusiano ya
ujinsia unavunja haki
za uzazi na haki zaRead More
Je, Ni Vipi Kuepuka Kufanya Ngono Kwa Shinikizo la Kutaka Kupendwa? π€
Kuna wakati maish...
Read More
Watu wengi huwaona Albino kama watu tofauti na watu wengine
na kuwakwepa, wanaweza hata kuba...
Read More
Uvutaji wa aina zote una madhara. Kama utavuta sigara na
kuvuta moshi kwa kutumia mdomo hadi...
Read More
Je, unafikiri ni muhimu kuwa na uelewa wa masuala ya afya na usalama katika ngono/kufanya mapenzi...
Read More
Njia za uzazi wa mpango zinatofautiana sana na zinaweza kugawanywa katika makundi mengi:
Kuna sababu nyingi ambazo zinamfanya kijana kuanza kujamiiana
katika umri mdogo. Baadhi ya s...
Read More
Habari yako! Leo, tutaangazia umuhimu wa kuelewa na kuheshimu upendeleo wa kingono/kufanya mapenz...
Read More
Ndiyo, i inawezekana kwamba mwanamke anayepata hedhi yake kila mwezi akawa mgumba. Na vilevile i ...
Read More
Endapo rafiki au jamaa anaomba msaada wa kuacha kutumia dawa za kulevya unaweza kumsaidia kwa kum...
Read More
Hakuna hata mmoja anayejua hasa kwa nini, na lini desturi
imeanza. Jamii inatoa maelezo tofa...
Read More
Jinsi ya Kukabiliana na Hali ya Kujihisi Kukataliwa kuhusu Ngono π
Karibu kwenye makala...
Read More
No comments yet. Be the first to share your thoughts!