Afya ya uzazi ni nini?
Date: April 15, 2022
Author: SW - Melkisedeck Shine
Afya ya uzazi inahusiana na mfumo wa uzazi wa mtu, na via
vya uzazi kwa watu. Kwa hali hiyo basi inahusiana na mambo
yote yanayojumuisha uzazi na ujinsia. Ina maana kuwa watu
wana uwezo wa kukidhi mapenzi na usalama katika maisha
yao, kwamba watu wana uwezo wa kuwa na watoto na pia wana
uhuru wa kuamua, kama lini na kwa muda gani wapate watoto.
Yaliyomo humu yanampa haki mwanamume na mwanamke kupewa
habari au kuelekezwa na kufikiwa na njia za uzazi wa mpango
ambazo ni salama, zinazofanya kazi, anazomudu kulipia na njia
zinazokubalika za uzazi wa mpango alizochagua na haki ya kuwa
na huduma za afya zinazofaa ambazo zitawawezesha wanawake
kuwa salama wakati wa ujazito na kujifungua.
Please log in or register to leave a comment or reply.
Related Posts
Urafiki mzuri ni msingi muhimu wa kuanza uhusiano wa kimapenzi. Kujenga urafiki mzuri na msichana...
Read More
Ndiyo, unaweza. Kifo kinaweza kuwa cha ghafla au
kutokana na madhara ya muda mrefu katika vi...
Read More
Watoto hawatakiwi kunywa pombe wala kuvuta sigara!
Watoto hasa ndio wapo katika hatari zaid...
Read More
Ndiyo, zipo sheria
hapa T a n z a n i a
z i n a z o w a l ...
Read More
Kama unavyohusisha rafiki zako katika mihemuko mingine, inaeleweka kama utataka kuwashirikisha ka...
Read More
Punyeto ni kupapasa au kusugua kiungo cha uzazi ili uweze kupata
starehe. Hakuna kosa kwa te...
Read More
Sigara siyo dawa za kulevya, kwa maana ya kwamba ni haramu,
lakini hata hivyo, sigara ina ni...
Read More
Kupata msichana ambaye anashiriki malengo yako na ana maslahi sawa nawe ni muhimu sana kwa mafani...
Read More
Jinsi ya Kuheshimu Maamuzi ya Mwenzi Wako kuhusu Ngono π
Karibu kwenye makala hii nzuri...
Read More
Siyo watu wote katika jamii wanawachukia au kuwatenga Albino.
Wazazi, ndugu zenu, rafiki zen...
Read More
Karibu kwenye makala hii kuhusu kwa nini watu wanapendelea njia za asili za kupanga uzazi. Kupang...
Read More
Mafuta yanayowekwa kwenye pakiti ya kondomu ni mafuta maalum na yana kazi ya kuhifadhi kondomu mp...
Read More
No comments yet. Be the first to share your thoughts!