Je, mapacha wanapatikanaje?
Date: April 17, 2022
Author: SW - Melkisedeck Shine
Zipo aina mbili za mapacha, wale wanaofanana na wale wasiofanana. Karibu robo ya mapacha wote hufanana. Hii ina maana kwamba wametokana na yai moja lililotungwa mimba ambalo hujigawa katika makundi mawili tofauti ya chembechembe, kila mojawapo hubadilika kuwa kiumbe pekee. Hadi sasa, wataalamu hawaelewi vizuri sababu za yai kujigawa. Mapacha wa aina hii , kwa vile wametokana na yai moja, mara zote huwa na jinsia moja na hufanana sana kimaumbile.
Mapacha wasiofanana hutokea wakati wa yai kupevuka, kokwa za mwanamke hutokea zikawa mayai mawili badala ya moja tu. Mayai yote mawili hurutubishwa na hutungishwa mimba kwa mbegu mbili tofauti za mwanaume. Viumbe viwili hukua wakati mmoja katika mfuko wa uzazi. Mbali ya kukua katika mfuko mmoja wa uzazi na kuwa na umri uleule, mapacha hawa ni sawa sawa na watoto wengine wawili wa wazazi haohao. Wanaweza kuwa wa jinsia na maumbile tofauti kabisa.
Please log in or register to leave a comment or reply.
Related Posts
Ndiyo, mwanaume ambaye ana uwezo wa kumwaga mbegu bila shida anaweza kuwa mgumba. Kutokuwa mgumba...
Read More
Hakuna kiwango cha umri kwa kutumia huduma za afya ya uzazi
na njia za uzazi wa mpango. Unat...
Read More
Matumizi mabaya ya pombe ndiyo yanayosababisha kuenea kwa
VVU au magonjwa mengine yatokanayo...
Read More
Je, kuna jukumu la kijamii katika maoni ya watu kuhusu ngono/kufanya mapenzi? Jibu ni ndiyo, kuna...
Read More
Wasichana na wanawake wanaweza kulewa kwa ujumla.
Mara nyingi, hulewa pombe haraka kuliko wa...
Read More
Ukitafuta vidokezo vya kukabiliana na ubaguzi katika uhusiano wako na msichana, basi umefika maha...
Read More
Habari za asubuhi wapendwa! Leo, tutajadili vidokezo muhimu ambavyo vitamsaidia msichana ahisi an...
Read More
-
Je, unajiamini wakati wa kufanya ngono/kufanya mapenzi? Swali hili limewahi kuulizwa ma...
Read More
Haki za msingi; hasa zile zinazohusiana na kuthaminiwa na
kuheshimiwa kama binadamu zinawahu...
Read More
-
Anza kwa kujenga urafiki mzuri
Kabla ya kuwa na uhusiano wa kimapenzi, ni muhimu kujeng...
Read More
Nifanyeje Kuzungumzia Suala la Kukosa Hamu ya Ngono? π
-
Jambo la kwanza kabisa...
Read More
Kutoa zawadi kwa mtu kwa kubadilishana ili kujamiiana
ni unyanyasaji mbaya. Iwapo mpokeaji w...
Read More
No comments yet. Be the first to share your thoughts!