Je, kuharibika mimba kunasababishwa na nini?
Date: April 17, 2022
Author: SW - Melkisedeck Shine
Asimilia kumi hadi i i ishirini ya mimba huharibika. Mimba nyingi zinaharibika katika kipindi cha wiki 12 za mwanzo wa ujauzito. Sababu kuu hutokana na kuharibika kwa yai lililotungwa mimba. Iwapo yai lingeendelea kukua katika hali hii matokeo ni mtoto kuzaliwa na kasoro mwilini au kiakili. Kwa hiyo mimba kuharibika inaweza kuwa ni njia ya asili ya mwili kukabiliana na matatizo hayo ya kimaumbile.
Vilevile kuharibika kwa mimba huweza kutokea kama mama ana magonjwa kama malaria au kaswende, kama ameanguka chini kwa nguvu au kama ana matatizo kwenye via vya uzazi. Dalili za mimba kuharibika ni damu kutoka ukeni na maumivu makali ya tumbo kwa chini.
Please log in or register to leave a comment or reply.
Related Posts
Wanaume wengi huwa na shida katika kuongea na wanawake, hasa katika mazungumzo ya kina. Hii mara ...
Read More
Je, kuna tofauti za kiutamaduni katika ngono/kufanya mapenzi? Swali hili linaweza kusababisha maj...
Read More
Je, ni vipi kuepuka shinikizo la kufanya ngono? Hii ni swali ambalo vijana wengi hujikuta wakijiu...
Read More
Karibu kwenye makala hii kuhusu kwa nini watu wanapendelea njia za asili za kupanga uzazi. Kupang...
Read More
Je, Ni Vipi Kuepuka Shinikizo la Kufanya Ngono Katika Mahusiano? π
Kuwa na nguvu ya kue...
Read More
Tunasema ngono kutumia njia ya haja kubwa pale ambapo uume uliodinda unaingizwa kwenye njia ya haja ...
Read More
Uwezekano wa kuambukizwa virusi vya UKIMWI kwa kunyonyana ndimi ni mdogo sana. Kwa kubadilishana ...
Read More
Jinsi ya Kuonyesha Utambulisho Wako kwa Msichana
Kuonyesha utambulisho wako kwa msichana n...
Read More
Jinsi ya Kujenga Uaminifu katika Uhusiano wako na Msichana
Katika uhusiano wowote, uaminif...
Read More
Je, ngono/kufanya mapenzi ni sehemu muhimu ya uhusiano wa kimapenzi?
Kwa wengi, kufanya ma...
Read More
Jinsi ya Kujilinda na Mimba Bila Kusababisha Madhara ya Kiafya? ππΌ
Karibu kijana! Le...
Read More
Upendeleo wa ngono na kufanya mapenzi ni jambo muhimu katika mahusiano yetu ya kimapenzi. Inapasw...
Read More
No comments yet. Be the first to share your thoughts!