Je, kuna madhara gani kama mtu anakaa muda mrefu bila kujamiiana au kufanya mapenzi?
Date: April 17, 2022
Author: SW - Melkisedeck Shine
Ukweli ni kwamba hakuna madhara yoyote ya kiafya iwapo utakaa muda mrefu bila ya kujamiiana. Viungo vya uzazi havidhuriki wala sehemu nyingine yoyote katika mwili wako. Mwanamke na mwanaume wakianza kujamiiana baada ya kukaa muda mrefu watapata raha na starehe kama kawaida.
Kuna uvumi potofu kwamba kutofanya mapenzi kunasababisha kuwa na chunusi usoni au sehemu za siri, au hata kuchanganyikiwa kiakili. Siyo kweli kwamba hali hiyo inasababishwa na kutojamiiana bali husababishwa na mambo mengine kabisa.
Elewa kwamba kutojamiiana kabisa hakuna madhara yoyote. Lakini kama tulivyosema awali kujamiiana kunaweza kuleta matatizo mengi kama mimba isiyotarajiwa, magonjwa ya zinaa ikiwa pamoja maambukizi ya virusi vya UKIMWI na UKIMWI wenyewe.
Please log in or register to leave a comment or reply.
Related Posts
Kuna magonjwa mengi tofauti ya zinaa, lakini yale ambayo yameenea sana ni kisonono, kaswende, klamdi...
Read More
Hakuna uchunguzi wa kisayansi ambao umeonyesha faida
yoyote inayopatikana kwa kuua Albino.Read More
Wakati wa makuzi au kipindi cha kubalehe, wavulana hupitia mabadiliko mbali...
Read More
Imani iliyojengeka kwenye jamii kuwa Albino wana uwezo
mdogo si ya kweli. Ipo mifano mingi y...
Read More
Je, ni lazima kutumia kinga (condom) kila wakati? π
Leo nataka kuzungumzia jambo muhimu...
Read More
Jinsi ya Kukabiliana na Ushinikizaji wa Kufanya Ngono kabla ya Wakati
Karibu vijana wapend...
Read More
Kwa nini inapendekezwa Kufanya Ngono na Mtu Mmoja Tu? π
Karibu vijana wenzangu! Leo tut...
Read More
Kama mama mjamzito atatumia dawa za kulevya basi humuathiri mtoto moja kwa moja. Mtoto aliye tumb...
Read More
Msichana anaweza kupata mimba kabla ya kuvunja ungo, yaani kabla ya kuona hedhi kwa mara ya kwanz...
Read More
Habari za asubuhi wapendwa! Leo, tutajadili vidokezo muhimu ambavyo vitamsaidia msichana ahisi an...
Read More
Kuomba msichana awe rafiki yako si jambo rahisi kama inavyoweza kuonekana kwa wengi. Hata hivyo, ...
Read More
Hata kama utafanya kila kitu usibakwe bado inaweza ikatokea.
Ubakaji na unyanyasaji wa ujinsia unawe...
Read More
No comments yet. Be the first to share your thoughts!