Je, mvulana afanye nini ili kuzuia ndoto nyevu?
Date: April 17, 2022
Author: SW - Melkisedeck Shine
Ndoto nyevu ni kitu kinachowatokea vijana wakiwa usingizini. Haiwezekani kuzuiwa kwa sababu uko usingizini, lakini labda ingekuwa vizuri wewe kujiuliza kwa nini unataka kuzuia jambo hili, haswa ukizingatia kwamba ndoto nyevu hazidhuru afya yako kabisa na kwamba ni dalili kuwa sasa unakuwa mtu mzima, yaani mwanaume.
Please log in or register to leave a comment or reply.
Related Posts
-
Je, unajiamini wakati wa kufanya ngono/kufanya mapenzi? Swali hili limewahi kuulizwa ma...
Read More
Albino ni binadamu kama alivyo binadamu mwingine na ana haki
sawa za kuishi na kufaidi kuwep...
Read More
Kwa kawaida, wazazi wote wakiwa Albino watazaa mtoto
Albino. Kwa maana hiyo basi, iwapo watu...
Read More
Mwili wa mwanaume unatengeneza aina mbili za mbegu. Kuna mbegu zinazokua kuwa mtoto wa kiume na k...
Read More
Ni kweli kwamba kupata hedhi ni dalili ya mwili wa msichana kuwa tayari kwa kubeba mimba, lakini ...
Read More
Kujikinga na Maambukizi ya UKIMWI: Njia za Kuepuka Hatari
-
Jambo zuri ni kuwa na ...
Read More
Kama wapenzi wapya au wapenzi wa muda mrefu, ni muhimu sana kujadili matarajio ya ngono/kufanya m...
Read More
Watoto hawatakiwi kunywa pombe wala kuvuta sigara!
Watoto hasa ndio wapo katika hatari zaid...
Read More
Nifanyeje Kuelewa Umuhimu wa Kujikinga na Maambukizi ya UKIMWI? π
Leo, tutaangazia umuh...
Read More
Idadi kamili ya Albino Tanzania haijulikani kwani hakuna
aliyewahesabu. Inakisiwa kufuatana ...
Read More
Jinsi ya Kukabiliana na Hali ya Kujihisi Kukataliwa kuhusu Ngono π
Karibu kwenye makala...
Read More
Je, Ni Vipi Kuepuka Kufanya Ngono Kwa Shinikizo la Kutaka Kupendwa? π€
Kuna wakati maish...
Read More
No comments yet. Be the first to share your thoughts!