Log in to access your menu with tools for managing ๐ tasks, ๐ฅ clients, ๐ฐ finances, ๐ learning, ๐ personal growth, and ๐ spirituality, all in one place!.
Welcome to AckySHINE, your go-to platform for personal growth, productivity, and well-being, offering tools tailored to organize your life, manage finances, and deepen your journey.
Updated at: 2024-05-25 18:10:15 (1 year ago by SW - Melkisedeck Shine)
Kakubaliana vizuri na msichana fulani hivi kuwa aibuke gheto, mchizi kajipanga vizuri kabisaโฆ. mara saa nne hivi mdada kasema hana nauli. Mshkaji kajikunja kamtumia Elfu tano maana mwenye shida alikuwa ni yeyeโฆโฆ Baada ya nusu saa yule dada akamtumia meseji. "Jamani mpenzi, kumbe baba hatoki nilijua atatokaโฆ sorry bae sitaweza kuja kwa leoโฆ sooo sorry!" Mshkaji jiii! hajajibu kituโฆ..
Baada ya muda kidogo meseji ikaingia katika simu ya binti, akajua mchizi kajibu. Mh! kutazama ni meseji kutoka Mpesa.
"CA90F0511 IMETHIBITISHWA Tshs 5000 ILIYOTUMWA KIMAKOSA KATIKA ACCOUNT YAKO IMETOLEWA SALIO LAKO NI Tshs 5"
Halafu ndo ikaingia meseji ya mshkaji. "BASI POA SIKU NYINGINE KAMA VIPI"
#dada wa watu mashavu yakamshukaโฆ hakuamini kilichotokeaโฆ. yaani jamaa keshawapigia Voda na pesa fasta imezuiliwaโฆโฆ
Updated at: 2024-05-25 16:53:11 (1 year ago by SW - Melkisedeck Shine)
1, mwanaume kuoga haraka haraka ili uwahi kuangalia igizo, huo ni UMAMA..๐
2, mwanaume kupiga picha umeng'ata Lips na Unapiga na Camera Beauty Plus huo ni UMAMA..๐
3, Mwanaume kuangalia tamthilia na Jamai Raja na Maigizo kwenye chanel ya sinema zetu wakati mechi za kombe la dunia zinaendelea, pia nawe ni MMAMAAโฆ๐๐
4, Mwanaume kuandika 'Jomon' badala ya Jamani, kuandika 'Pw' badala ya Poa, kuandika 'Thatha' badala ya Sasa, kumwandikia mwanaume mwenzio 'Mambo my' Huu ni UDADA, tena UDADA wa CHUO..๐ . 5, Mwanaume kunywa soda au Juice na kubakisha, kununua chakula halafu unakibakisha, kubagua bagua chakula na kujamba hovyo hovyo baada ya kushiba, huo nao ni UMAMAA..๐ . 6, Mwanaume kumuuliza mwanaume mwenzio anapata faida gani kuangalia Mpira, pia nawe ni MMAMAโฆ . ๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐
Je, hii ni kweli kwa wale wasichana wasiojibu meseji WhatsApp!!!?
Updated at: 2024-05-25 16:56:10 (1 year ago by SW - Melkisedeck Shine)
Ukiona hivyo ujue ndio hivi
Mwanaume mwenzangu ukiona unamtext msg msichana WhatsApp kaisoma hajajibu, umetuma ya pili kasoma hajajibu, ukatuma ya tatu hajajibu mmmmmh๐จ๐จ hapo ujue mwenzio kaangalia kwenye profile yako, kakagua picha weee mwishoni akajisemea tuย "Huyu.mkaka hapana kwa kweli"๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ
Mke anamwambia mme wake kuwa angetamani mme wake awe tajiri cheki alichojibiwa
Updated at: 2024-05-25 17:03:41 (1 year ago by SW - Melkisedeck Shine)
Mke; mme wangu ungekuwa tajiri ningefurahi Mimi; kwa nini? Mke; ungekuta na sisi tuna gari nzuri hatutembeu kwa mguu Mimi; ah wap,unadhani ningekuwa tajiri ningekuwa na wewe?ungekuta natoka na kina wema,zariโฆ ๐๐๐ naona anakusanya nguo zake itakuwa anaenda kufua