Namna ya kukabiliana na Magonjwa ya kuku
Date: December 26, 2020
Author: SW - Melkisedeck Shine
Hakikisha unamuona mtaalamu wa mifugo mara uonapo dalili zozote za kuumwa kwa mifugo wako.
Tenga na wapatie tiba au kuwaua na kuteketeza kabisa kuku wagonjwa kuepuka kuenea kwa magonjwa.
Ondoa ndege waliokufa mara moja, uwafukie au kuchoma moto. Usile kuku aliekufa. Baadhi ya magonjwa ya ndege yanaweza kuambukizwa kwa binadamu.
Endapo kuna mlipuko wa ugonjwa katika eneo lako, usiruhusu watu kutembelea banda lako. Watu wanaweza kuleta maambukizi kwa miguu yao katika mabuti, nguo na mikono.
Pia magari yanaweza kuleta madhara kwa mabanda yako kupitia matairi na upakuaji wa mizigo.
Please log in or register to leave a comment or reply.
Related Posts
Mbolea ya kunyunyiza ni nzuri kwani inasaidia kuupa mmea virutubisho moja kwa moja kupitia kwenye...
Read More
Kutifua udongo ni jambo la muhimu sana ili kuufanya udongo kuwa bora.
<...
Read More
Mahindi ni miongon mwa mazao makuu ya chakula hapa nchin Tanzania na ulimwa karibu kila mkoa. Uli...
Read More
NYANYA HASA KWENYE OPEN SPACE CHANGAMOTO NI NYINGI, HASA WADUDU, KAMA SASA ...
Read More
Maharagwe yanapandwa kwenye kabichi yanafanya kazi zifuatazo;
Kudhibiti wadudu (...
Read More
1. Usiuchoshe sana udongo
Udongo ni kiungo muhimu sana katika uzalishaji wa mazao...
Read More
Huu ni ugonjwa hatari sana kwa maisha ya binadamu. Kinyesi cha punda kinabe...
Read More
Kichwa cha kabichi kinapofunga vizuri, hutumika kama chakula na huvunwa baada ya kufunga na kukom...
Read More
Ukitaka kuwavutia na kuingiza nyiki kwenye mzinga unatakiwa kufanya yafuatayo;
- Tafuta ...
Read More
Kilimo cha Parachichi nacho kinalipa ukilima.
Pilipili hoho ni zao la jamii ya pilipili isiyo kali, tunda lake ni nene ki...
Read More
No comments yet. Be the first to share your thoughts!