Nini maana ya neno Albino?
Date: April 15, 2022
Author: SW - Melkisedeck Shine
Neno Albino linamaanisha
mtu mweupe, linatokana na
neno la lugha ya Kilatini -
albus-linamaanisha โeupeโ.
Kuanzia karne ya 17 neno
Albino limekuwa likitumika
katika kueleza hali ya kundi
la viumbe hai (watu, wanyama
na hata mimea) ambao wana
upungufu au ukosefu wa rangi
katika ngozi, macho na nywele.
Kwa binadamu ni bora kutumia
maneno โWatu wanaoishi na
ualbino
kwani itamaanisha kuwa ni watu kama wengine ila wanaishi na
hali tofauti ya โualbinoโ. Katika kitabu hiki maneno haya mawili
yatatumika.
Lugha inajenga dhana na kuunda hali ya ukweli / uhalisi. Kwa
sababu hiyo ni lazima tuache kutumia maneno kama โzeruzeruโ.
Neno hili linamaanisha sifuri mara mbili au mtu asiye na
thamani. Utumiaji wa neno hili ni dharau ya utu na kulaumu
watu wanaoishi na ualbino kama kosa lao.
Please log in or register to leave a comment or reply.
Related Posts
Dawa za kulevya huharibu ufanyaji kaza wa kawaida wa mfumo wa mwili hasa tumbo na utumbo wa watum...
Read More
Ulemavu maana yake ni hitilafu katika mwili au akili inayomwekea
mipaka mtu asiweze kufaniki...
Read More
Magonjwa mengi ya zinaa yana dawa za kutibu, kwa mfano: kisonono, kaswende, klamdia, kankroidi au...
Read More
Je, kuna tofauti za kiutamaduni katika ngono/kufanya mapenzi? Swali hili linaweza kusababisha maj...
Read More
Je, kuna mambo mazuri na mabaya kuhusu ngono/kufanya mapenzi? Ndio, kuna mambo mengi sana ambayo ...
Read More
Je, watu wanapendelea ngono/kufanya mapenzi ya kimyakimya au ngono/kufanya mapenzi ya kelele? Hii...
Read More
Je, umewahi kujaribu njia mpya za kufurahisha katika ngono/kufanya mapenzi?
Kama wewe ni m...
Read More
Tunaposema dawa za kulevya ina maana ni matumizi mabaya ya dawa na hasa pale yatumikapo kinyume c...
Read More
Watu ambao wanaonekana tofauti na wengine (ama kwa misingi
ya kabila, rangi, dini, kimo au h...
Read More
Kwa vijana mara nyingine siyo rahisi kufahamu afanye nini mara anapopata ashiki (hamu) ya kutaka ...
Read More
Ni kweli kwamba mara nyingi hali hii huwatokea wavulana na wanaume. Ndani ya uume kuna mishipa mingi...
Read More
Ukweli ni kwamba hakuna madhara yoyote ya kiafya iwapo utakaa muda mrefu bila ya kujamiiana. Viungo ...
Read More
No comments yet. Be the first to share your thoughts!