Warning: Undefined variable $user_id in /home/ackyshine/personal/sidebar.php on line 36
Sidebar with Floating Button
AckySHINE πŸ”
☰
AckyShine

Dalili za kwanza za msichana au mwanamke kuwa na mimba ni zipi?

Featured Image
Dalili moja i iliyo wazi zaidi ni kukosa hedhi. Mwanamke akijamii ana na mwanaume bila kutumia kinga yoyote na asipopata hedhi katika muda unaotakiwa, mara nyingi i i ina maana kwamba amepata mimba.
The ListPages module does not work recursively.
Dalili nyingine ni kuvimba matiti na chuchu kuchomachoma. Baadhi ya wanawake wanaota mavuzi mengi na wengine wengi rangi ya chuchu i inabadilika kuwa nyeusi. Pia, karibu nusu ya wanawake wajawazito huumwa tumbo na wengine hutapika. Wanawake wengi husikia mkojo mara kwa mara na wengine hujisikia wachovu na kuona kizunguzungu, hasa katika miezi mitatu ya mwanzo. Wakati mwingine wanawake hupenda au huchukia baadhi ya vyakula. Ili mwanamke awe na uhakika kama ni mjamzito au hapana, akapimwe mkojo kwenye kliniki au hospitalini, mara anapokuwa na wasiwasi
AckySHINE Solutions

Comments

Please log in or register to leave a comment or reply.

No comments yet. Be the first to share your thoughts!

Related Posts

Vidokezo vya Kuwa na Tarehe ya Kimapenzi na Msichana

Vidokezo vya Kuwa na Tarehe ya Kimapenzi na Msichana

Kama wewe ni miongoni mwa wanaume wanaotaka kuwa na tarehe ya kimapenzi na msichana, kuna vidokez... Read More

ATHARI ZA ULEVI KATIKA JAMII

ATHARI ZA ULEVI KATIKA JAMII

Watu wanokunywa kupitia kiasi huathiri jamii kwa njia mbalimbali. Madhara mengine hutokea kwa kuwa w... Read More
Kama Albino akiathirika na VVU anaweza kutumia ARVs kama watu wengine?

Kama Albino akiathirika na VVU anaweza kutumia ARVs kama watu wengine?

Katika suala hili la UKIMWI hakuna tofauti yoyote kati ya
Albino na watu wengine katika jami... Read More

Nifanyeje Kuzungumzia Suala la Ngono na Wazazi?

Nifanyeje Kuzungumzia Suala la Ngono na Wazazi?

Nifanyeje Kuzungumzia Suala la Ngono na Wazazi? πŸ€”

Karibu kwenye makala hii ambapo tutaj... Read More

Je, kuna tofauti za umri katika ngono/kufanya mapenzi?

Je, kuna tofauti za umri katika ngono/kufanya mapenzi?

Je, kuna tofauti za umri katika ngono/kufanya mapenzi? Ndio, kuna tofauti nyingi sana! Hiyo ndiyo... Read More

Je, kuna mambo ya haramu katika ngono/kufanya mapenzi?

Je, kuna mambo ya haramu katika ngono/kufanya mapenzi?

Je, kuna mambo ya haramu katika ngono/kufanya mapenzi? Hili ni swali ambalo linaweza kuwa na maji... Read More

Kwa nini vijana wanakatazwa kujamiiana?

Kwa nini vijana wanakatazwa kujamiiana?

Ujana ni kipindi cha mabadiliko kutoka utotoni kuelekea utu uzima, wakati wa kipindi hiki kijana ... Read More

Je, Ni Lazima Kutumia Kinga (Condom) Kila Wakati?

Je, Ni Lazima Kutumia Kinga (Condom) Kila Wakati?

Je, ni lazima kutumia kinga (condom) kila wakati? 🌍

Leo nataka kuzungumzia jambo muhimu... Read More

Mafuta kwenye kondomu

Mafuta kwenye kondomu

Mafuta yanayowekwa kwenye pakiti ya kondomu ni mafuta maalum na yana kazi ya kuhifadhi kondomu mp... Read More

Je, watu wanasemaje kuhusu kutumia manjonjo na manukato wakati wa ngono/kufanya mapenzi?

Je, watu wanasemaje kuhusu kutumia manjonjo na manukato wakati wa ngono/kufanya mapenzi?

Kutumia manjonjo na manukato wakati wa ngono/kufanya mapenzi ni mada ambayo ina debate kubwa. Wap... Read More

Je, ni lazima kumeza vidonge vya kuzuia mimba siku zote, hata zile siku nisipojamiiana?

Je, ni lazima kumeza vidonge vya kuzuia mimba siku zote, hata zile siku nisipojamiiana?

Ndiyo, vidonge vya kuzuia mimba ni lazima vimezwe kila siku hata kama hufanyi ngono siku hiyo. Ku... Read More

Vidokezo vya Kutafuta Tarehe ya Muda Mrefu na Msichana

Vidokezo vya Kutafuta Tarehe ya Muda Mrefu na Msichana

Leo hii tutazungumzia kuhusu masuala ya kutafuta tarehe ya muda mrefu na msichana. Inawezekana um... Read More

πŸ“– Explore More Articles
🏠 Home πŸ“– Reading πŸ–ΌοΈ Gallery πŸ’¬ AI Chat πŸ“˜ About