Warning: Undefined variable $user_id in /home/ackyshine/personal/sidebar.php on line 36
Sidebar with Floating Button
AckySHINE ๐Ÿ”
โ˜ฐ
AckyShine

Nifanye nini nikipata hamu ya kujamiiana au kufanya mapenzi?

Featured Image
Unapofikia ujana unaanza kuwa na hisia za upendo na kujisikia kupata mvuto au msisimko ambao sio wa kawaida. Jambo hili ni la kawaida kwa kijana yeyote anayekua. Ni dalili zinazoonyesha kwamba sasa unaingia utu uzima. Unapopata hisia za namna hiyo jaribu kutafuta shughuli zitakazokusahaulisha, kama vile, michezo, kujisomea, kuwasaidia wazazi kazi za nyumbani au kujihusisha katika shughuli za vikundi katika jamii. Vijana wengine wanasema kwamba wanaoga maji baridi ili kuondoa hamu na msisimko wa kutaka kujamiiana. Unapojisikia kutaka kujamiiana au uume kudinda haimaanishi lazima ujamiiane. Kujamiiana ni njia mojawapo tu ya kuonyesha mapenzi. Kuna njia nyingine ambazo zinaweza kutumika kama vile kuongea, kushikana, mikono, kukumbatiana, kubusu na kushikanashikana. Njia nyingine ni kupiga punyeto. Kupiga punyeto ni wakati msichana anajishika au anasuguasugua kinembe mpaka anapofikia mshindo, au wakati mvulana anasugua sugua uume wake mpaka anaposhusha. Watu wengi wanaopiga punyeto hufanya hivyo wakiwa peke yao. Kupiga punyeto hakuna madhara yoyote kiafya wala kiakili na ni aina moja ya kuwa na โ€žmapenzi salamaโ€œ.
AckySHINE Solutions

Comments

Please log in or register to leave a comment or reply.

No comments yet. Be the first to share your thoughts!

Related Posts

Vidokezo vya Kufanya Msichana Ajiambie Kuwa Anakupenda

Vidokezo vya Kufanya Msichana Ajiambie Kuwa Anakupenda

Kila mwanamume anapenda kujua kama msichana anayempenda anahisi hivyo hivyo kumhusu. Lakini sio k... Read More

Bikira na ubikira

Bikira na ubikira

Ubikira ni nini?:ย Maana halisi ya neno โ€œbikiraโ€ ni mwanamke au mwanaume amb... Read More

Kwa nini kuna Watanzania wanaovuta bangi?

Kwa nini kuna Watanzania wanaovuta bangi?

Sababu mojawapo ni kuwa bangi hulimwa hapa nchini na
hivyo hupatikana kwa urahisi. Bangi huu... Read More

Je, mama anayenyonyesha mtoto anaweza kupata mimba?

Je, mama anayenyonyesha mtoto anaweza kupata mimba?

Katika miezi sita ya mwanzo baada ya kujifungua, mwanamke anayenyonyesha mtoto anapata kinga ya m... Read More

Je, Ni Lazima Kuwa na Ngono ili Kuwa na Mahusiano ya Karibu?

Je, Ni Lazima Kuwa na Ngono ili Kuwa na Mahusiano ya Karibu?

Je, Ni Lazima Kuwa na Ngono ili Kuwa na Mahusiano ya Karibu? ๐Ÿค”

Karibu vijana! Leo tutaz... Read More

Vidokezo vya Kuonyesha Heshima kwa Ndugu za Msichana Wako

Vidokezo vya Kuonyesha Heshima kwa Ndugu za Msichana Wako

Leo tutazungumzia kuhusu vidokezo vya kuonyesha heshima kwa ndugu za msichana wako. Kama mwanaume... Read More

Jinsi ya Kukabiliana na Hisia za Kufadhaika na Utendaji wa Ngono/Kufanya mapenzi

Jinsi ya Kukabiliana na Hisia za Kufadhaika na Utendaji wa Ngono/Kufanya mapenzi

Jinsi ya Kukabiliana na Hisia za Kufadhaika na Utendaji wa Ngono/Kufanya Mapenzi ๐Ÿ˜Š๐Ÿ”ฅ

... Read More

Je, nikioga mara baada ya kujamiiana, nitaweza kuwatoa wadudu wa ugonjwa wa zinaa na nisiambukizwe?

Je, nikioga mara baada ya kujamiiana, nitaweza kuwatoa wadudu wa ugonjwa wa zinaa na nisiambukizwe?

Hapana, huwezi kuwatoa wadudu wa magonjwa ya zinaa kwa njia ya kuoga baada ya kujamiiana. Wadudu ... Read More

Ninawezaje kumsaidia mtu kuacha kuvuta sigara na kunywa pombe?

Ninawezaje kumsaidia mtu kuacha kuvuta sigara na kunywa pombe?

Jaribu kutafuta sababu zinazowafanya rafiki, ndugu na jamaa
zako kuwa na tabia ya kuvuta sig... Read More

Jinsi ya kujikinga na ubakaji

Jinsi ya kujikinga na ubakaji

Hata kama utafanya kila kitu usibakwe bado inaweza ikatokea. Ubakaji na unyanyasaji wa ujinsia unawe... Read More
Nimwambie nini mtu anayejaribu kunishawishi nijihusishe na makundi ya watu wanaokunywa pombe na wavutaji sigara?

Nimwambie nini mtu anayejaribu kunishawishi nijihusishe na makundi ya watu wanaokunywa pombe na wavutaji sigara?

Kama umeamua kutovuta sigara wala kunywa pombe ni uamuzi
mzuri sana na wa kiafya. Ni haki ya... Read More

Je, Ni Vipi Kuepuka Shinikizo la Kufanya Ngono?

Je, Ni Vipi Kuepuka Shinikizo la Kufanya Ngono?

Je, ni vipi kuepuka shinikizo la kufanya ngono? Hii ni swali ambalo vijana wengi hujikuta wakijiu... Read More

๐Ÿ“– Explore More Articles
๐Ÿ  Home ๐Ÿ“– Reading ๐Ÿ–ผ๏ธ Gallery ๐Ÿ’ฌ AI Chat ๐Ÿ“˜ About