Umri unaofaa kuoa
Date: April 17, 2022
Author: SW - Melkisedeck Shine
Kuoana maana yake ni kuwajibika kwa maisha yako na mke au mume wako. Mara nyingi kuoana kunaambatana na kuzaa watoto. Ni vigumu sana kutambua umri sahihi wa mtu kuoa au kuolewa, kwa sababu watu wanatofautiana katika kuamua ni lini yuko tayari kujitegemea na kuwajibika kumtunza mtu mwingine. Wengine wanakuwa tayari katika umri wa miaka 20 na wengine katika umri mkubwa zaidi.
Kwa vile kuoa au kuolewa mara nyingi kunahusishwa na mtu kuwa mzazi, kuna vipengele vya kiafya vinavyofaa kuzingatia. Kwa mfano siyo vema msichana kuzaa kabla hajafikisha umri wa miaka 18, kwa sababu mwili wake hauko tayari kuzaa mtoto. Nyonga i nakuwa bado ni nyembamba, viungo vya uzazi ni vidogo na havijakomaa kiasi ambacho vinaweza kuharibika wakati wa kuzaa mtoto.
Kwa hiyo basi unashauriwa kusubiri i kuoana mpaka hapo utakapokuwa umejenga msingi i mzuri i wa maisha yako. Kabla hujawa tayari kuoa au kuolewa unaweza kuwa na urafiki na yule aliye mtarajiwa wake ili taratibu muweze kuelewana tabia, yale anayoyapenda na asiyoyapenda na kujenga msingi mzuri wa uhusiano.
Please log in or register to leave a comment or reply.
Related Posts
Habari yako, mpenzi! Katika mada ya leo, tunajadili kuhusu mambo ambayo hayafai kuzungumziwa kuhu...
Read More
Ndiyo, mtu anayeonekana na afya nzuri anaweza kuwa na virusi vya UKIMWI. Katika hatua ya mwanzo b...
Read More
Je, ni lazima kufanya ngono kama ishara ya mapenzi?π€
Haya, wapendwa vijana, hebu tuanze...
Read More
Kama kati ya mwanamke na mwanaume hakuna mwenye magonjwa ya zinaa, hakuna madhara yoyote kwa mwan...
Read More
Neno VVU ni i virusi au vijidudu vinavyosababisha ugonjwa wa UKIMWI. Neno hili kwa lugha ya Kii nger...
Read More
Kugusana kwa kutumia viungo vya uzazi ni njia mojawapo ya kuamsha hisia ya kujamii ana. Kama mwan...
Read More
Nifanyeje Kukabiliana na Hisia za Kubaguliwa Kuhusiana na Ngono? π
Habari rafiki! Leo t...
Read More
Dawa za kulevya huathiri ubongo jinsi unavyofanya kazi. Hubadili hisia na husaidia kuondoa aibu n...
Read More
Je, umewahi kujiuliza watu wana amini nini katika kutumia vifaa vya ngono/kufanya mapenzi? Kuna m...
Read More
Nifanyeje Kuelewa Umuhimu wa Kujikinga na Maambukizi ya UKIMWI? π
Leo, tutaangazia umuh...
Read More
πNifanyeje Kupata Msaada wa Kisaikolojia Kuhusu Masuala ya Ngono? π
Habari kijana! L...
Read More
Vijana wengi wanajikuta wanatumbukia katika matatizo mazito kama kupata mimba mapema, utoaji wa m...
Read More
No comments yet. Be the first to share your thoughts!