Kujamiiana au kufanya mapenzi salama
Date: April 17, 2022
Author: SW - Melkisedeck Shine
Mapenzi salama ni yale yanayofanyika bila wasiwasi wa kupata mimba zisizotarajiwa, magonjwa ya zinaa pamoja na maambukizi ya Virusi vya UKIMWI na UKIMWI. Mapenzi salama yanaweza kuwa ni pamoja na kumaliza hamu bila ya kujamiiana au kuchukua tahadhari kwa maana ya kutumia kondomu wakati wa kujamiiana.
Kumaliza hamu bila ya kujamiiana ni pamoja na kupiga busu, kukumbatiana, na kupiga punyeto. Vyote hivyo ni vitendo salama kabisa. Kama utajamiiana (kwa maana uume unaingizwa ukeni), ni lazima uhakikishe kuchukua tahadhari muhimu za kinga. Moja ya tahadhari inaweza kuwa wote ni waaminifu kabisa, lakini jambo hili linahitaji nyie wote wawili kuwa waaminifu na kuwa wote muwe mmepima virusi vya UKIMWI na pia msiwe mmefanya ngono hapo kabla (hamkuwa na uhusiano wa kimwili na mtu yeyote kabla. Tahadhari nyingine ni kutumia kondomu. Kondomu inazuia mimba pamoja na magonjwa ya zinaa na uambukizi wa Virusi vya UKIMWI.
Please log in or register to leave a comment or reply.
Related Posts
Mapenzi salama ni yale yanayofanyika bila wasiwasi wa kupata mimba zisizotarajiwa, magonjwa ya zi...
Read More
Utumiaji wa nguvu
katika mahusiano ya
ujinsia unavunja haki
za uzazi na haki zaRead More
Unapokwenda kwenye tarehe ya kwanza na msichana, ni muhimu sana kufikiria njia za kufanya tarehe ...
Read More
Ipo njia moja ya kuhakikisha kama umeambukizwa Virusi vya UKIMWI na UKIMWI au hapana. Njia hii ni...
Read More
Dawa za kulevya zenyewe hazisababishi UKIMWI na magonjwa ya zinaa. Lakini utumiaji wa dawa za kul...
Read More
Je, unafaa kujadili historia yako ya ngono/kufanya mapenzi na mwenza wako? Swali hili limekuwa li...
Read More
Katika kufanya mapenzi iwe mwanaume anayeweka kondomu uumeni au iwe mwanamke anayeshugulika kuwek...
Read More
Kondomu ya kike inafahamika kwa jina la โcareโ na โLady Petetaโ. Hapa Tanzania hazipatika...
Read More
Ndiyo, hata akitoa uume nje ya uke kabla ya kumwaga mbegu anaweza akaambukizwa Virusi vya UKIMWI...
Read More
Je, kuna umuhimu wa kufanya mazoezi ya kuboresha nguvu na stamina wakati wa ngono/kufanya mapenzi...
Read More
Ni imani na fikra potofu kwamba, ukinywa gongo au kuvuta
sigara kwa kiasi kidogo baada ya ch...
Read More
Watu wanokunywa kupitia kiasi huathiri jamii kwa njia
mbalimbali. Madhara mengine hutokea kwa kuwa w...
Read More
No comments yet. Be the first to share your thoughts!