Hii ndio Bongo
Ilikuwa Ijumaa mida ya saa 10 jioni, mzee mmoja aliingia na kibinti kizuri kwenye yard ya magari mapya.
MZEE: Chagua gari unalotaka mpenziโฆ.kabinti akazunguka yard yote mwisho akachagua Verrosa metallic .
BINTI: Mi naitaka hii
MZEE: Hakuna tatizo kabisaaa, mtoto mzuri kama wewe lazima upate gari uloichagua mwenyewe. Mzee akatoa kitabu cha cheki na kuandika palepale na kumpa mwenye yard
MUUZAJI: Sasa Mzee kwa kuwa umetoa cheki, gari utakuja chukua Jumatatu tukishahakikisha kuwa Account yako ina pesa benki. Naomba namba yako ya simu Mzee
MZEE: Hakuna tatizo (akampa namba). Haya twende zetu sweetie Jumatatu tunakuja wote kuchukua gari lakoโฆ
Siku ya Jumatatu mwenye yard kampigia simu Mzee.
MUUZAJI: We Mzee kavu sana, akaunti yako haina hata senti tano.
MZEE: Hilo nilijua, lakini wiki endi yangu ilikuwa tamu sana.
๐ฆ๐๐ฆ
Kevin Maina (Guest) on August 7, 2015
Hii ni kali kabisa! Siwezi kushiba! ๐
Isaac Kiptoo (Guest) on July 25, 2015
๐ Nacheka hadi chini sasa hivi!
Mercy Atieno (Guest) on July 22, 2015
๐ Bado nacheka!
Carol Nyakio (Guest) on July 17, 2015
Kweli mna ucheshi wa hali ya juu! ๐๐คฃ
Robert Ndunguru (Guest) on July 16, 2015
Hii ndio nilihitaji leo! Asante! ๐
John Mwangi (Guest) on June 30, 2015
๐๐คฃ๐๐
Dorothy Mwakalindile (Guest) on June 24, 2015
Kweli mna ucheshi wa hali ya juu sana! ๐๐
Mwanais (Guest) on June 22, 2015
๐ Hii ni ubunifu wa hali ya juu!
Richard Mulwa (Guest) on June 20, 2015
๐ Imeongezwa kwenye vipendwa!
Diana Mumbua (Guest) on June 12, 2015
๐ Sijacheka hivi kwa muda mrefu sana!
Mary Kendi (Guest) on May 27, 2015
Hii imenipa kicheko cha siku! ๐๐
David Ochieng (Guest) on May 23, 2015
๐ Siwezi kusubiri kushiriki hii!
Sarah Mbise (Guest) on May 12, 2015
๐ Nitaiiba hii bila shaka!
Joy Wacera (Guest) on April 28, 2015
Hii ni joke ya maana sana! ๐๐
Betty Akinyi (Guest) on April 28, 2015
๐๐คฃ๐๐
Mwinyi (Guest) on April 12, 2015
๐คฃ Ninaituma sasa hivi!